HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE KUTOKA KWA ABIRIA WALIOKUWA WAMEPANDA SEA BUS ILIOKUWA IKITOKEA PEMBA IMEKWAMA ZAIDI YA MASAA MANNE.BADO CHANZO KINAELEZA KWAMBA BOTI HIYO IMEKWAMA KUTOKANA NA TATIZO LA KUZIMIKA GHAFLA KWA INJINI KATIKA ENEO HILO LA BAHARI YA HINDI AMBAPO INASEMEKANA KWAMBA NI ENEO LENYE MKONDO MKALI ZAIDI BARANI AFRIKA..MPAKA SASA HIVI ABIRIA WANASEMA HALI YA TAHARUKI IMETAWALA NA HUKU BAHARI IKIWAIMECHAFUKA VIBAYA SANAAA....
No comments:
Post a Comment