Web Toolbar by Wibiya

Friday, August 5, 2011

ETII....!


Kama kuna mtu anakupigia simu,unapopokea simu yako ipokee ukiwa na tabasamu.Sawa mtu anaekupigia humuoni wala yeye kukuona ila atahisi kwa namna sauti yako inavyotoka na yeye kujisikia vizuri.

Hili ni zoezi gumu kweli maana wakati mwingine una mood mbaya,una kijihasira chako sijui itakuwaje ila tunaweza kujaribu.
11 comments

No comments: