UMEKUA NI WIMBO NA UTANI WA MAISHA YA WATU WA TANZANIA KILA SIKU NA HAKUNA WA KUTUPA MAJIBU YETU..
SASA BASI KWA NAFASI YAKO POPOTE ULIPO MWOMBE MUNGU WETU ATUEPUSHIE DHULUMA HII NA AWALAANI WALE WOTE WANAOHUSIKA NA UDHALIMU HUU UNAOTESA HISIA ZA WANANCHI NA MAISHA YAO
SASA BASI KWA NAFASI YAKO POPOTE ULIPO MWOMBE MUNGU WETU ATUEPUSHIE DHULUMA HII NA AWALAANI WALE WOTE WANAOHUSIKA NA UDHALIMU HUU UNAOTESA HISIA ZA WANANCHI NA MAISHA YAO
HII SIO KAMPENI BALI NI MTIRIRIKO WA MATUKIO YA "JANGA LA KITAIFA LA UMEME" AMBALO LIMEPELEKEA JAMII YA TANZANIA KUSHIKWA NA BUTWAA,HUU NI UKWELI USIOFICHIKA!WAMESHINDWA HATA KUELEWA UFAFANUZI UNAOTOLEWA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMPUNI HUSIKA ZA UZALISHAJI WA UMEME TANZANI,IMEONEKANA NI SIASA ZINAZOWAKERA WANANCHI,ZINAZOKATISHA TAMAA YA MAISHA,UCHUMI WATANZANIA PAMOJA NA MAENDELEO YAKE KWA UJUMLA HVYO BASI KUPITIA HIVYO VYOTE! MIMI NABAKI KUJIULIZAAA! NANI AMFUNGE PAKA KENGELEE? NA JE TUENDELEE KUBAKI NA KISINGIZIO HIKIHIKI CHA KILA SIKU KWAMBA KINA CHA MAJI YA BWAWA LA MTERA KIMEPUNGUA? BOMBA LINALO PITISHIA GESI NI DOGO! AMA KAMPUNI ILIYOFIKA SASA HIVI NDIO INAJIPANGA NA KAZI WAKATI TUKIWA TUNAENDELEA KUTUMIA MISHUMAA HALAFU KATIBU MKUU WA WIZARA AKIHALALISHA MATUMIZI YA RUSHWA YA MILIONI HAMSINI YA KILA IDARA YAANI KAMA KAWAIDA YAO BAJETI IPITE... NAJIULIZA MASWALI MPAKA NASIKIA KIWEWEWE LABDA NA WENZANGU MNISAIDIE INAWEZEKANA NIKAWA NAFIKIRIA HIVI MIMI MWENYEWE.......ASANTENI SANA NA MUNGU IBARIKI AFRIKA PAMOJA NA TANZANIA YETU, ITUKUMBUKE SISI WATOTO WA MAMA NTILIE NA WABEBA MIZIGO YA BANDARINI AMBAO MIGONGO YETU IMEKUA KAMA MAMBA TUSIJE KUFA NJAA HUKU TUNAJIONA....
No comments:
Post a Comment