MZEE ERNEST WAYA AKILALAMIKA KWA UCHUNGU JINSI WANAVYOTUMIKA VIBAYA KNY SIKUKUU YA MASHIJAA HUKU WAKIWA BADO NI MASIKIN WA KUTUPA
HAPA MZEE ERNEST MWAYA AKIWEKA NGAO NA UPINGE KAMA ISHARA........
HAPA AKITOA HESHIMA KWA WENZAKE WALIOTANGULIA BAADA YA VITA........
HAPA AKIWA NA MKUU WA MKOA MR.MWAKIPESILE,MEYA WA JIJI LA MBEYA PAMOJA NA MWAKILISHI WA MACHIEF MKOA WA MBEYA
HAPA SASA NDIO KAZI IMEKWISHAA!!! WAMEMWACHA MZEE ERNEST MWAYA PEKE YAKE..! WALICHOKITAKA AKIFANYE KIMEISHA! THEN.....MALIZIA MWENYEWE....HAPA WASILALAMIKE MCHEZO? JE HAYA NDIO MAADILI TULIOFUNDISHA KUWAJALI WAKUBWA ZETU NA KUWATUNZA?
No comments:
Post a Comment